Matthew 13:36

Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu

36 aKisha Yesu akaagana na makutano, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Copyright information for SwhNEN